Thursday, October 24, 2013

RAPPERS FRENCH MONTANA NA WALE KUTUA AFRIKA KUTOA SUPPORT.



Msanii mkali wa muziki kutoka Afrika ambaye pia anashikilia historia ya kuwa mshindi wa tuzo ya BET, Ice Prince anatarajia kufanya uzinduzi wa album yake ya 2 mwezi ujao tarehe 23, huko Nigeria ambapo mpango mzima unasimamiwa na lebo makini ya Chocolate City Group.
Album hii mpya kutoka kwa Ice Prince imepatiwa jina Fire of Zamani, na kinachokamata vichwa vya habari zaidi juu ya tukio hili la uzinduzi, ni uwepo wa wasanii wa kimataifa kama vile French Montana na Wale kutoka Marekani.