Rapper huyo ambaye alishawahi kuwa judge kwenye kipindi cha tv cha kutafuta vipaji "American Idol" amesema muda wake kama Judge amejifunza mengi na amefurahi sana kupewa nafasi kama hio ila umefuka muda wa yeye kuanza kufikiria muziki wake.Nicki Minaj ameanza kuandika album yake ya tatu inayotegemewa kuwa Hit itakapo toka.
Kuhusu filamu yake mpya, napenda kukujulisha kuwa "The Other Woman," inatoka hivi karibuni na Minaj humu anaonekana na Stars wakubwa kama Cameron Diaz na Kate Upton