
1.Ana utajiri wa unaozidi shilingi Bilioni 1.
2.Malipo ambayo hupokea kwa show zake nyingi za nje nchini hayashuki chini dola 25,000
3.Tangu Mwaka 2011 akaunti yake ya benki hajawahi kushuka chini ya Shilingi Milioni 100.
4.Wimbo wa Mawazo alimuimbia Jacqueline Wolper ambaye alikuwa mpenzi wake.
5.Kamwambie na Mbagala alimuimbia mpenzi wake aitwaye Sarah aliyemkata (Diamond)
6.Ukimwona alimwandikia Wema Sepetu baada ya kumsaliti
7.Mara ya kwanza alikuwa chini ya Papa Misifa ambaye ni meneja wake kwa hiyo aliamua kuvunja mkataba naye na ili mbidi amlipe Sh Milioni 18.
8.Anamilki nyumbani kadhaa huku akiwa anamalizia maandalizi ya nyumba yake mpya.
9.Ana Dancers zaidi ya 12 anaowalipa na kusafiri nao katika safari nchini mbalimbali anapoitwa kutoa burudani.
10.Bado nina safari ndefu ya maisha pamoja na Muziki wangu..!!!!