Ilikua show yenye shangwe kuanzia mwanzo
mpaka mwisho pale Ney wa Mitego alipomuita shabiki jukwaani ili aimbe
sehemu ya Diamond kwenye single ya ‘Muziki gani’ on stage kwenye
Serengeti Fiesta 2013 Shinyanga.
Ni shabiki ambae hakuwa ameandaliwa
lakini anamkubali Diamond na bahati nzuri siku hiyo alikua amevaa t
shirt yenye jina la Diamond… leo sijui show ya Ney wa Mitego itakuaje
hapa 88.1 Mwanza CCM Kirumba.