Diamond ametumia melody inayofanana kidogo na wimbo wake “Kesho” kutengeneza wimbo huu, ukiusikiliza kuna mstari kama ”Je wasanii wenzangu wataniimbia Ama litafutika jina langu”.