Sunday, October 20, 2013

JE, NI KWELI KUWA HAWA NDO MASTAA WAKIKE WENYE MVUTO ZAIDI BONGO??


Habari hizi zimetufikia eti habari ya mjini ni kwamba, hawa ndo wanadada mastaa wenye mvuto zaidi hapa Bongo, Binafsi nahisi kuna wengine wengi ambao walistaili sifa kama vile Jaquiline Wolper, Jokate mwegelo, Irine Uwoya na wengine wengi, ila hayo ni maoni yangu tu Je wewe unaonaje hii list inafaa?



Inasemekana kwamba Wema Sepetu ndio anaongoza kwenye List hii, kwa kweli she is beautiful.

 Lulu Michael ndiye anachukuwa nafasi ya pili

Jaqi Cliff 'Lady Boss wa Bongo' anachukuwa nafasi ya tatu

4 Loveness Love