Friday, October 4, 2013

MADAMU RITA AZIDI KUONYESHA UKOMAVU-AMPA NEY WA MITEGO SHAVU LA KUWA JAJI BSS

Hii Itawashangaza wengi lakini mie nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi  wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo