MR BLUE "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"
Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo
Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr
blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio
kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa
hana mpya katika game hilo la music wa kibongo ......Kwa muda sasa Dogo
huyu hajatoa wimbo mzuri ambao umewagusa watu na wengine wakileta umbea
kwamba ameanza kutumia unga....Anyways ..Dogo we are waiting for u
ukishamaliza kusoma mchezo drop us a HIT