MTANGAZAJI ADAMU MCHOMVU AWACHEFUA WATU KWA KUWEKA PICHA ONLINE AKITIRIRIKA KAMASI
Kupitia Account yake ya mtandao wa
kijamii wa Instagram Mtangazaji wa Clouds Fm Adam amepost picha hii na
kuandika maneno hayo, picha hii imezua maswali mengi kwa fans wake pia
hata kwa watangazaji wenzie, pitia baadhi ya comment utaelewa kwa ufupi.