SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA GEORGE WASHA UNAOITWA NAKOSA IMANI
Imani ya mapenzi kwa wapenzi haipo. so kilichobaki nikujipa raha
mwenyewe, Nyimbo hii nimeifanya ndani ya CHOICE RECORDS DODOMA. na kuna
ngoma nyingine mpya itatoka hivi karibuni inaitwa (lilaumu jicho)