WEMA"NINYI MNAZANI NAMWAZA DIAMOND KILA SAA, NO MIMI NAWAZA JINSI YA KU MAKE MORE MONEY""
Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba
watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini
ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni
kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa
cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria
pesa. Unaionaje hiyo picha?