Thursday, October 24, 2013

WITNES WA WAKILISHA AKASIRISHWA NA SOME OF HER FANS.



Anaitwa Witnesz na hichi ndicho alichoandika!! ”jamani humu sisi ni marafiki sawa? ninawapeni tu dondoo kwa wale mliozoea kuniita,bby,mrembo wangu,mpenzi swthrt na kutamani kuniona kwa nia zenu za kimapenzi leo ninawachana live, mimi huwa ninatumia akaunti yangu ya facebook na mpenzi wangu na anapassword zote so msijichoreshe kwa kunijaribu,na kwa kuwa tuna aminiana mtu akileta hizo tu tunamblock iwe kwenye akaunti yake ama yangu,so usifanye hivyo ninakusihi ili usipoteze hata chembe ya urafiki uliopo wa fb, much love”