Monday, September 30, 2013

HII NDO PICHA YA DIAMOND AKIWA NDANI YA CIKE STUDIO

Mkali wa Ngololo ‘Diamond Platnumz’ ambaye anahusika kwenye matangazo ya kampuni ya Cocacola ametupia picha akiwa kwenye Coke Studio za Africa kupitia account yake ya Instragram na haya ndiyo aliyo yaandika