Msanii Rayuu akiongeleA michoro(Tatoo)
alizochora mwilini mwake amedai kuwa Tatoo pekee iliyogarimu kiasi
kikubwa che fedha ni 1 aliyochora kiunoni mwake. kama unavyoona kwenye
picha hapo juu ni tatoo ambayo ina Jina lake. Je Wewe Unapenda Tatoo ? maeneo yapi mwilini?