Mara
nyingi tunaongelea mapenzi ya Jay z Na Beyonce, Chris Brown Na
Rihanna, Kwa sasa wanao teka headlines duniani kama wapenzi ndio hawa
wawili. B & J.
Mapenzi ya stars Jason Derulo Na Jordin Sparks yanazidi kukolea baada ya
Jason kumweka Jordin kama Video Model wake kwenye video yake mpya ya
"Marry Me", So hii ni dalili kuwa wana mpango wa kuowana hawa wawili?,
Well mpaka sasa inasemekana Derulo na Sparks wana mapenzi mazito sana na
hakuna dalili za kuachana kwa hawa wawili
Jordin Sparks Ndio Video Model Kwenye Video Mpya Ya Mpenzi Wake Jason Derulo, Inaitwa Marry Me. Ipo Hapa