Kwenye mistari hio Drake anasema
“Hate the fact my mom cooped up in her apartment, tellin' herself/ That she's too sick to get dressed up and go do sh*t, like that's true sh*t”
Drake amesema ameongea na Mama yake mara nyingi kuhusu tabia hiyo ndio maana ameona aweke malalamiko yake kwenye wimbo huo na alijua Bi Mkubwa atasikiliza album yote kabla haijatoka.
Anyway i hope Drizzy na Mama yake wameyamaliza mambo yao, Swali ni je unadhani ni vizuri kumchana Mama Mzazi kwenye Ngoma?