Sunday, September 29, 2013

Video Ya Star Wa Man Untd Robin Van Persie Akisema Anapenda Kusikiliza Muziki Wa P Square Kutoka Nigeria


Kama Bado hujapata nafasi ya kusikiliza interview ya Star Wa Man Untd Robin Van Persie Akisema Anapenda Kusikiliza Muziki Wa P Square Kutoka Nigeria na mambo mengine kuhusu maisha yake ya soka, filamu na Muziki. Wasanii anaopenda kuwasikiliza na issue zingine, Interview ipo hapa