AVRIL AOMBA MSAMAHA KWA KUPIGA PICHA NA MUME WA MTU ..BAADA YA PICHA KULETA MANENO MENGI ONLINE
Picha ambayo aliiweka Avril Mtandaoni akiwa amepiga na mtangazaji wa
Radio ya Q FM Rashid Abdalah ambaye ni mume wa Lulu Hassan Mtangazaji wa
Citizen TV ilileta Utata Baada ya Mashabiki wake kuanza kusema hao
wawili wana Uhusiano wa tofauti na kazi..