Monday, October 7, 2013

MANGE KIMAMBI AFUNGA MTAA ARUSHA..WATU WAKANYAGANA WAKICHAGUA NGUO ZA BONGOLICIOUS



"Ngoja nianze na shukrani zangu za dhati kwa wateja wangu & fans wangu wa Arusha...

You guys rock.......

Yani leo ilipita last time.....

Jamani ahsanteni sana for your love and support.....

Uwiii im outta words yani sijui nawashukuruje kwa support mliokuja kunipa leo maana

ilifika muda mpaka nikawa naskia kizungu zungu kwa kukosa hewa kwa jinsi watu walivyokuwa wengi....

Mliokosa belts poleni narudi tena December mtapa Inshallah.....



Tuonane tena kesho saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.....

Nawapenda sana Arusha......


The whole thing ya kurudi Tanzania within 2 weeks was sooo freaking WORTH IT......
HII INAITWA FUNGAMTAA.COM"
Says Mange Kimambi