DIAMOND JANA ALIKUWA NA BABY AKE PENNY WAKILISHA CAKE YA BIRTHDAY-HAKUNA CHA WEMA WALA NINI
Wakati watu wakiongea mengi na kuzusha
Dimond amemwaga mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema Sepetu , Wawili
hao Walikuwa wakilishana Cake na Kucheza Kitandani kama Watoto wadogo
...kama picha zinavyoonyesha ...Hakuna cha Wema wala nini ...Embu
tuwaache Walale Jamani...Dahhhhh