Kama unafatilia habari za mastaa wa
Marekani utafahamu kuwa hii issue alishawahi kufanya rapper Nicki Minaj
wa Young Money, Aliomba mashabiki watume picha wakiwa wamevalia mavazi
kama yake na pozi zaki Nicki Minaj, Well Bongo Super Star Diamond
amefanya yake kwenye instagram.