Tuesday, October 22, 2013

HIVI NDIVYO BAADHI YA WENYE PESA WANAVYOWADHARAU MASKINI, KWA KUWAFANYIA HAYA


Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.


Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako