Amber Rose Akiwa Na Mume Wake Wiz
Khalifa, Wamesherekea Siku Ya Amber Ya Kuzaliwa Pamoja. Fahamu kuwa
Amber Rose amezaliwa siku moja na mchumba wa x Boy Friend wake Kanye
West ambaye ni Kim Kardishian, Wote wamezaliwa 21 October. Pamoja na
kuwa na majukumu ya ziara za muziki Wiz Khalifa ameweza kupata nafasi ya
kuwa na baby mama wake kwenye birthday yake.