Monday, July 18, 2016

FURSA ZA KUJIAJIRI

Unaweza kujiajiri kupitia kilimo cha bustani kwa kulima mazao ya mbogamboga kama vitunguu ,nyanya .bamia . nyanya chungu na nk
KILIMO CHA VITUNGUU
kilimo cha vitunguu ni fursa kubwa ya mafanikio kutokana na faida kubwa inayopatikana katika zao hilo .
Vitunguu hustawi maeneo yasiyokua na mvua nyingi baridi kiasi udongo usio tuamisha maji joto la wastani kwa hapa Tanzania maeneo yanayofaa kufanya kilimo cha vitunguu ni Morogoro. Singida. Arusha. Iringa Pwani Kilimanjaro
Atua za kufatwa kwenye kilimo cha vitunguu
kuandaa kitalu cha kusia mbegu
kitalu kiandaliwe kwa usafi na kutiwa mbolea ya asili kisha kusia mbegu kwa mstari zisibanane sana zikibanana sana azitanenepa na zitachelewa kua tayar kwenda shamba
Kuanda majoruba kwajili ya kupanda vitunguu
maandalizi ya shamba la kupandia yanatakiwa yafanyike mapema yaandaliwe majoruba ambayo yataifadhi maji kama ni kipindi cha kiangaz yaandaliwe kwa mpangilio kwa kutumia kamba ili maji yaweze kutembea katika shamba zima katika kila joruba itiwe samadi debe moja ichanganywe na udongo 

KUPANDA VITUNGUU

mbegu zitadumu kwenye kitalu kwa siku 40 zikisha kua tayar zitahamishiwa shambani zipandwe kwa mpangilio(mstari) katika majuruba wakati shamba likiwa limelowa maji ili mmea usizohofike 

Baada ya wiki mbili itaitajika mbolea ya kukuzia mmea wa kitunguu pamoja na booster ya majani dawa ya wadudu Atakan na dawa ya ukungu  dawa itanyunyuziwa kwa wiki mara mbili


Baada ya siku 90 vitunguu vitakua tayar majan yataanza kukauka shamban patanyweshewa mara moja kabla ya kuvuna na baada ya hapo vitunguu vitangolewa kwa utaratibu kwa kutumia vijembe vidogo au kisu vikasha ngolewa vitakatwa shingo vikashwe siku mbil juan baada ya hapo vitunguu vitakua tayar kwa kuuzwa au kutumika

BEI YA VITUNGUU

vitunguu hufukia hadi 200000 kama wakulima hawakua wengi katika msimu kiwango cha chini cha bei ya vitunguu na 60000 kwa kilo mia wakulima wakiwa wengi na zao linaloweza kukufanya ujiajiri na kuachana na MAMBO YA MSINGI

Mtaji

Eneo

Usimamizi

Maji

WAZA KWA NGUVUUUU UTATOKAAAA

Sunday, October 27, 2013

KANYE WEST NA KIM KUSIGN MKATABA WA KILA MTU NA MALI ZAKE WAKIOANA...HAKUNA KUSHARE


Hii ni kali ya mwaka imegundulika kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo yatavunjika.....Katika hilo watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?

SHOO YA FIESTA DAR KUENDELEA SAA 9 ALASIRI LEO

BAADA ya shoo ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar kusimama kwa muda leo alfajiri kwa hitilafu ya umeme, itandelea tena saa 9 alasiri leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam bila kiingilio.

Saturday, October 26, 2013

DOGO JANJA NA OSTAZ JUMA NAMUSOMA WANATUCHEZEA MCHEZO WA DANGANYA TOTO...


Story ya Dogo Janja kutimuliwa kwenye kampuni ‘inayolegalega’ ya Watanashati Entertainment jana ilivitawala vyombo vingi vya habari nchini. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ostaz Juma ambaye hivi karibuni naye alijaribu bahati kwenye muziki kwa kurekodi wimbo uliopotea kwa wiki chache tu, alisikika akihojiwa kwenye vituo vingi vya radio akielezea hatua hiyo.

MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJATIMIZA MIAKA 26

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusagusa.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha.
3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwa wazazi au kupanga na nyumba na washkaji.

MWANAMUZIKI WA INJILI WA NIGERIA APIGA PICHA ZA UCHI NA KUSAMBAA MTANDAONI...CHEKI HAPA


Mwimbaji wa nyimbo za injili toka nchini Nigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la  Maheeda  amejikuta  akitengwa  na  kanisa  baada  ya  picha  zake  za  uchi  kuvuja….

DIAMOND ATOA SIRI 5 ZA KUMRUDIA WEMA





MKALI wa songi linalotamba runingani na redioni ndani na nje ya Bongo la Number One, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ amefunguka na kuanika siri tano za kurudiana na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.

AMANDA:SIWEZI KURUDIA MATAPISHI HATA SIKU MOJA


Stori: Gladness Mallya

STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi  ‘Amanda’ amefunguka kuwa hawezi kurudia matapishi yake kwa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Joseph Rashau ‘Bwana Misosi’.

PROFESA JAY AKANUSHA TAARIFA ZA KWAMBA ATATUMBUIZA KESHO FIESTA

Kupitia  account  yake  ya  facebook, Profesa  Jay amewataka  mashabiki  wake  watambue  kuwa  kuna  wabaya  wake  wali hack  account  zake  za  twitter  na  facebook  na  kutangaza  kwamba  kesho  atatumbuiza  katika  tamasha  la  Serengeti  Fiesta...

SHEDDY CLEVER:PRODUCER WA MY NUMBER ONE ALIYE VICHOCHORONI USWAZINI

Ukiingia ndani ya studio ya Burn Records iliyopo Tabata, jijini Dar es Salaam, huwezi kuamini kama ndiyo sehemu ‘zinakopikwa’ kazi za baadhi ya wasanii zinazowafanya kuwa maarufu na kuwaingizia kipato, kupitia shoo na mialiko ya ndani na nje ya nchi.

PICHA YA JOKATE YAMPONZA LULU


ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amejikuta akiambulia maneno makali kutoka kwa mashabiki baada ya kuposti picha ya Jokate na kumsifia katika mtandao wa Instagram.

Lulu aliiposti picha hiyo kwa nia njema kabisa ambapo kuonesha kuwa anamkubali Kidoti, alimwagia sifa kuwa ana uzuri wa ziada ndipo wafuasi wa mtandao huo walipotema mbovumbovu.


“Anampiga vijembe Wema huyu, mtoto mswazi sana huyu…mnafiki huyu mimi nishamjua hanipi shida siku hizi,” walichangia wadau tofauti mtandaon

RUSHWA YA NGONO ST.JOHN'S UNIVERSITY DODOMA INATISHIA MAISHA YA WANAFUNZI WA KIKE

Chuo cha st.John's pale Dodoma kuna tatizo kubwa la walimu kuwakamata wananfunzi na kuwalazimisha ngono .

Thursday, October 24, 2013

Alex Ferguson amponda David Beckham


David Beckham na Sir Alex Ferguson
Aliyekuwa meneja wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Sir Alex Ferguson amesema David Beckham alilazimika kuondoka katika klabu hiyo kutokana na tabia yake ya kujiona ni mkubwa kuliko meneja wake.

JAMANI TUWASAIDIE,WEMA NA JOKATE WASHIKANA MASHATI KUHUSU SURA ZAO,KILA MMOJA ANAJINADI KUWA YEYE NI MZURI ZAIDI YA MWENZAKE...

Hawa wote  ni wasanii maarufu  wanaojulikana  kimataifa na wenye sura  zenye  mvuto...

DOGO JANJA ATIMULIWA MTANASHATI ENTERTAINMENT-WALIMLETA KWA NDEGE SASA WAMRUDISHA KWA BASI


Msanii chipukizi wa muziki wa Hip Hop, Abdulaziz Chende maarufu kwa jina la Dogo Janja, ametimuliwa katika kundi la Mtanashati Entertainment.

MAMA KANUMBA"HUYU MCHUNGAJI KAIRUKI ANANITAFUTA KWA KUDAI KANUMBA YUPO HAI"

Baada ya hivi karibuni kuibuka tena kwa yule nabii na Mchungaji George Kaiuruki na kudai kuwa Marehemue Steven Kanumba bado yu hai, FROLA Mtegoa - mama mzazi wa aliyekuwa mwigizaji nyota filamu wa Bongo marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na tabia ya mtu anayejiita

KAMA WEWE NI MWANAFUNZI AMA KIJANA MPENDA MAENDELEO,CHANGAMKIA FURSA HII.


Je wewe ni kijana wa Kitanzania/Kiafrica mwenye mawazo chanya juu ya maendeleo????
Pia je ungependa mawazo yako yaweze kusikika kirahisi nakuchangia katika maendeleo ya dunia kwa ujumla??

KANYE WEST FACE TO FACE NA YESU.


Amekua mtu wa kumiliki headlines kila anapokanyaga sasa hivi na tena uzito umeongezeka baada ya kuwekwa hadharani kwa uhusiano wake wa kimapenzi na TV Star Kim Kardashian.

RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot Gal



Download RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot Gal HERE na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na RikyWayne kupitia +255 718 229 154 powered by www.vmgafrica.com

RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot Gal http://goo.gl/dJNrLU

MSANII RABBIT WA KENYA AONESHA MAPENZI YA KWELI NA NCHI YAKE.


Baada ya kushika sana mitaa na rekodi yake ya Ligi Soo, Msanii Rabbit aka Kaka Sungura ameamua kuugeukia uzalendo zaidi kupitia kazi yake mpya ambayo inakwenda kwa jina 1963 ‘United Kenya’ kwa ajili ya kuonyesha mapenzi na nchi yake.

FACEBOOK YABADILI SERA.



Mtandao wa kijamii wa facebook una mpango wa kubadili sera yake ili kuwaruhusu watumiaji wake kuweza kuweka picha ambazo zina maudhui ya kutisha ambapo kama unakumbuka, May 2013

CPWAA ADISS VIDEO ZA KIBONGO KUKOSA UBUNIFU.


Mkali wa crank Tanzania Cpwaa leo amesema kuwa Wimbo wake mpya wa Chereko Chereko umelenga masoko yote, nje na ndani ya Tanzania na video ikitoka shabiki utaelewa hilo zaidi. Fahamu kuwa mara ya mwisho Cp ametoa wimbo ilikuwa mwaka jana alipotoa Double Release yani ngoma mbili kwa wakati moja. Nyimbo Mambo na 12 O’clock .

FURSA KAMA HIZI SI ZA KUACHIA KWA VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI.



FURSA KAMA HIZI SI ZA KUACHIA KWA VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI.
Zimebaki siku kama 140 hivi safari ya kwenda ROME Italia…….kwa ajili ya kongamano kuubwa la mfano wa Umoja wa Mataifa almaarufu kama MUN…

RAPPERS FRENCH MONTANA NA WALE KUTUA AFRIKA KUTOA SUPPORT.



Msanii mkali wa muziki kutoka Afrika ambaye pia anashikilia historia ya kuwa mshindi wa tuzo ya BET, Ice Prince anatarajia kufanya uzinduzi wa album yake ya 2 mwezi ujao tarehe 23, huko Nigeria ambapo mpango mzima unasimamiwa na lebo makini ya Chocolate City Group.
Album hii mpya kutoka kwa Ice Prince imepatiwa jina Fire of Zamani, na kinachokamata vichwa vya habari zaidi juu ya tukio hili la uzinduzi, ni uwepo wa wasanii wa kimataifa kama vile French Montana na Wale kutoka Marekani.

WITNES WA WAKILISHA AKASIRISHWA NA SOME OF HER FANS.



KUVUTA SIGARA NI RAHA SAAANA ILAAAA……………


MADHARA YA UVUTAJI WA SIGARA
Katika moshi wa sigara, zaidi ya kemikali 400
zimegundulika kuwa na madhara makubwa
katika afya. Mvutaji mdogo hutumia nusu ya
pakiti ya sigara kwa siku na kujikuta akiathiri
mwili wake kwa kemikali hizi mara 3500 kwa
mwaka. Hata hivyo,

KAMA USO UMEHARIBIKA KWA CHUNUSI SOMA HAPA.


Tatizo la kutokwa na chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hushambulia sehemu za usoni  na kuharibu sura ya mwanadamu hasa wanawake.
Ugonjwa huu umekuwa ukiwachukiza baadhi ya wanawake na wanaume kutokana na kuharibika kwa uso wao na matokeo yake kujikuta wakienda kununua vipodozi  vyenye kemikali kali ambazo ni hatari kwa afya ya ngozi zao.
Vipodozi hivyo ni hatari kwani vingine huweza kuchubua na kusababisha ngozi kukosa kinga,hivyo kuleta madhara  makubwa mwilini.

Wednesday, October 23, 2013

FUTURE AJITANGAZIA UFALME

.FUTURE AJITANGAZIA UFALME.

Atlanta inazalishwa wengi ya wasanii wakubwa zaidi ya miaka.Watu kama vile Andre 3000, Young Jeezy, Ludacris, Gucci Mane, Cee Lo, Big Boi, 2 Chainz, Pastor Troy, Lil Jon, Jermaine Dupri, T I na wengine wengi wamechangia sana kwa eneo la mji kuwa ki-Hip Hop zaidi.

DIAMOND PLATNUMZ AFANYA KAMA NICKI MINAJ.

DIAMOND PLATNUMZ AFANYA KAMA NICKI MINAJ.
Kama unafatilia habari za mastaa wa Marekani utafahamu kuwa hii issue alishawahi kufanya rapper Nicki Minaj wa Young Money, Aliomba mashabiki watume picha wakiwa wamevalia mavazi kama yake na pozi zaki Nicki Minaj, Well Bongo Super Star Diamond amefanya yake kwenye instagram.

STEVEN NYERERE AIPUA KITU.

KWA WALE WAPENZI WA BONGO MOVIE STEVEN NYERERE AIPUA KITU.
Kampuni ya utengenezaji,uuzaji na usambazi wa filamu za kitanzania Kutoka nchini Tanzania ya Proin Promotions leo imetambulisha rasmi filamu yake mpya iitwayo Long Time ambayo itapatikana kuanzia leo sokoni kwa gharama ya Shilingi Elfu tano tu za kitanzania

MR. BLUE NA HEMED PHD KUNANI.


MR. BLUE NA HEMED PHD KUNANI.
Exclusive interview na Mr Blue Kuhusu sababu za kupotezea video ya Hemedy Phd – Rest Of My Life iliyotoka Ijumaa. Fuatilia Hapa

AMBER NA WIZ KHALIFA WAZIDI KUTESA.

AMBER NA WIZ KHALIFA WAZIDI KUTESA.
Amber Rose Akiwa Na Mume Wake Wiz Khalifa, Wamesherekea Siku Ya Amber Ya Kuzaliwa Pamoja. Fahamu kuwa Amber Rose amezaliwa siku moja na mchumba wa x Boy Friend wake Kanye West ambaye ni Kim Kardishian, Wote wamezaliwa 21 October. Pamoja na kuwa na majukumu ya ziara za muziki Wiz Khalifa ameweza kupata nafasi ya kuwa na baby mama wake kwenye birthday yake.

Tuesday, October 22, 2013

HIVI NDIVYO BAADHI YA WENYE PESA WANAVYOWADHARAU MASKINI, KWA KUWAFANYIA HAYA


Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.

IMEGUNDULIKA KUMBE MAGAIDI WA WESTGATE WALITUMIA HELKOPTA INAYOMILIKIWA NA MWANASIASA MAARUFU KENYA


Standard Media wametoa taarifa nyingine ambayo inazidi kulipa shambulio la Westgate nguvu ya kuendelea kumiliki vichwa vya habari baada ya kuripoti kwamba Magaidi waliofanya hilo shambulio Nairobi mwezi September walitumia helikopta ambayo inamilikiwa na mwanasiasa maarufu wa zamani nchini Kenya ambae taarifa hii haijamtaja.

DIAMOND "SIWEZI KUSAHAU DADA WA KWANZA NILIYEMUOMBAGA TUSHOOT VIDEO ALINIJIBU SIWEZI SHOOT NA MA UNDERGROUND"


Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika 
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi 
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini

PICHA ZA WATUHUMIWA 13 WALIOKUTWA WAKIFANYA MAZOEZI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA



JUSTIN BEIBER AKUMBWA NA SKENDO YA KWENDA CLUB ZA WACHEZA UCHI


JOKATE AFICHUA MAZITO!


Na Waandishi Wetu

KUMEKUWA na maneno mengi juu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya staa mwenye vyeo vingi Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kisha staa wa kikapu wa NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet Manka.

Sunday, October 20, 2013

JE, NI KWELI KUWA HAWA NDO MASTAA WAKIKE WENYE MVUTO ZAIDI BONGO??


Habari hizi zimetufikia eti habari ya mjini ni kwamba, hawa ndo wanadada mastaa wenye mvuto zaidi hapa Bongo, Binafsi nahisi kuna wengine wengi ambao walistaili sifa kama vile Jaquiline Wolper, Jokate mwegelo, Irine Uwoya na wengine wengi, ila hayo ni maoni yangu tu Je wewe unaonaje hii list inafaa?



Inasemekana kwamba Wema Sepetu ndio anaongoza kwenye List hii, kwa kweli she is beautiful.

UFOO SARO AELEZA TUKIO ZIMA LA SAKATA YAKE LILIVYOKUWA





Ufoo ambaye mara kadhaa katika mazungumzo na gazeti hili alionekana kukunja uso akiashiria kupata maumivu, alionyesha eneo la chini ya bega katika mkono wake wa kulia lililofungwa na bandeji ambalo alisema ndipo alipopigwa risasi ya kwanza wakati akigeuka na kujaribu kuepuka mauti muda mfupi baada ya Antheri kumfyatulia risasi zilizomkuta mama yake mzazi.

AUDIO | Lady Queen Ft Dulayo - Kelele na wewe | Download


Man Utd yakosa mwelekeo


Wachezaji wa Man United
Wachezaji wa Man United
kwa mara nyingine tena Manchester United imeandikisha matokeo mabaya kwa kutoka sare nyumbani.

NAY WA MITEGO "MAMBO YA AJABU ANAYOFANYA CHID BENZ YANATOKANA NA MADAWA YA KULEVYA"


Amebananishwa Msanii anayefanya poa kwa ngoma yake ya Salamu zao na muziki gani "Nay wa Mitego" kumzungumzia Chid Beenz ambapo Nay aliamua kufunguka kwamba yeye ni Mmoja kati ya waliokuwa Mashabiki wakubwa sana wa Muziki wa Chid Beenz ila alimpoteza tu pale alipoanza kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.

WEMA"NINYI MNAZANI NAMWAZA DIAMOND KILA SAA, NO MIMI NAWAZA JINSI YA KU MAKE MORE MONEY""

Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?

HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...SOMA HAPA KWA TAARIFA ZAIDI



MWANADADA anayeendesha maisha yake kwa kuPkupitia filamu za Bongo, Wastara Juma ameumia mguu baada ya kuwekewa mwingine mpya wa bandia huko Nairobi nchini Kenya. 

CLUB ZA USIKU, MAMBO HUWA HIVI POMBE NA MZIKI VINAPOKOLEA


 Haya ndio Mambo ya Clubs Mziki na Pombe vinapokolewa ...Wengi hujikuta wanasaula kabisa kama picha zinavyoonyesha hapo juu na chini ...Je wewe Umeshawahi Shuhudia Vimbwanga kama hivi ukiwa club?

YOUNG DEE AKANUSHA SKENDO YA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA



Msanii Young Dee amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kusema kuwa pamoja na story hizo kuwa kubwa lakini hali hiyo haijamuathiri sana kwasababu hazina ukweli wowote.

AY " VIDEO YA BILA KUKUNJA GOT DIRECTOR ALIWEKA VITU AMBAVYO HATUKUVITARAJIA KABISA"



Ikiwa ni wiki moja imepita

tangu video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya Hamis Mwinjuma aka Mwana FA na Ambwene Yessaya aka AY ya single yao ‘Bila kukunja goti’ itoke, FA amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu video hiyo.